


Ni miss anayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss Universe ambayo mwaka huu yanafanyika visiwani Bahamas......unaweza kwenda kwenye link www.missuniverse.com and vote/rank her...Tanzania tunaweza!!!!
Hivyo basi tumwezeshe iluminata aweze kuitangaza nchi yetu vizuri.....go girl!!!
No comments:
Post a Comment