May 30, 2009

I love modeling....


Wapenzi wangu jamani i love modeling basi tu sijapataga bahati ya kuufanya wenyewe wenyewe....nashukuru mungu bado siku zipo nami iko siku yangu itafika..hehehhheeh hapo ilikua mambo ya photoshoot,ilibidi niende kujijaribu mwenyewe!!!how do i look wajameni?

Bila kuwasahau wazaa chema jamani!!!


Hapo juu ni baba na mama yangu wapenzi tulikua mitaa ya kwetu huko kutembelea maliasili zetu mlima kilimanjaro.hapo ni wamechoka si unajua wazee tena??
mama jina;Gwantwa
baba jina;Fulgence Ramadhani

Beyonce Knowles



Jamani huyu dada pia ni my insipiration,nampenda and napenda anavyovaa mara nyingi vivazi vyake vinampendeza sana...big up beyonce!!