Aug 29, 2009

M LOVIN THIS LOOK

Cute outfit....top of da game ...dis chick is off da hook!!

AY IN MALAYSIA


Msanii wa kizazi kipya Ambwene Yessaya ama AY anatarajia kufanya show yake nchini malaysia kuanzia mwezi ujao,,watanzania malaysia mnakaribishwa!!!
Bila kusahau kutoa vote zenu kwake kupitia tunzo anazowania za mtv award,juc go 2 mtv site and vote for him!!!
per-moh-jah!!