Feb 10, 2010

Natamani kua malaika.....


Natamani kua malaika,

Enzi hizo nikilia nabembelezwa sio sasa nabezwa,

Nikichoka tembea nabebwa mie,

Kila ki2 nafanyiwa,natamani kurudi nyuma!!

Zawadi ya valentine toka kwa binti machozi..


Zawadi itatolewa kwa flower atakayekua amependeza kuliko wote,ni kidani kinachogharimu laki saba za kitanzania hivyo basi flowers woteeeee mnakaribishwa!!!!!Usikose wewe na yule......

VALENTINE HII,


Kwa wale wote wenye wenza jumamosi hii usikose kufika mzalendoo usiku wa maraha na yule umpendae-muonyeshe ni jinsi gani unamthamini na kumpenda kwa dhati.......