Aug 12, 2009

SHUKURANI-(THANX)

Kwanza kabisa ningependa kumshukuru m/mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo maana bila yeye hakuna linalowezekana,...and he always talk to me!!!bila kuwasahau wazazi wangu wapendwa Mr.and Mrs Fulgence Ramadhan
Ts TK again napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru sana coz alitumia muda wake kunifundisha plus kunishauri what 2 do when u blog plus matatizo madogo madogo yanayojitokezaga....hata hilo jina hapo juu limetoka kwake(me,myself and i) alinipa idea ya majina matatu lakini nikapendezwa nalo hili zaidi,girl thanx a lot and u rock.pia unaweza kumtembelea kwenye blog yake www.totalknockout.blogspot.com!!she looks gourgeous always jamani...wenye wivu poleni,kisses mamii
And this is witness,she is ma friend since high school huko,crazie in some ways,lol pia naye ni mmoja wa watu aliyenipa mshawasha wa kufungua my own blog and kusema za ukweli the 1st blog i opened ilikua yake www.wityarchy.blogspot.com!!!And from there ndipo me,myself and i ilipoanzishwa maana baada ya kuiona yake hapo hapo nikafungua yangu but at that time sikuwaga interesting sana na kua blogger...thanx girl and in some ways she is ma sister(LOL) hilo la udada tunajua wenyewe limetokeaga wapi...you luk stunning girl!!Love yah....

No comments: