Na hatimaye mwenzetu akajipatia,,mtotot ni mzuri plus kachukua kote kote(kutoka kwa baba and na kwa mama) seems wanaishi a happy family,,may god bless u guys!
Haya jamani mwenzetu kaamua kuonyesha ulimwengu wapi tulipotokea,,anategemea kujifungua mtoto mwingine soon na sa hivi ameamua kuonyesha live,,,she is realy a diva manake make up mpaka labor...!!!!nani kama mama??unaweza kumwona kupitia mediatakeout.com
Wapenzi wangu jamani i love modeling basi tu sijapataga bahati ya kuufanya wenyewe wenyewe....nashukuru mungu bado siku zipo nami iko siku yangu itafika..hehehhheeh hapo ilikua mambo ya photoshoot,ilibidi niende kujijaribu mwenyewe!!!how do i look wajameni?
Hapo juu ni baba na mama yangu wapenzi tulikua mitaa ya kwetu huko kutembelea maliasili zetu mlima kilimanjaro.hapo ni wamechoka si unajua wazee tena?? mama jina;Gwantwa baba jina;Fulgence Ramadhani