The spicy material is copper mirrored leather and it's a reason to live for the fashion GAWDS!!
You know we love a added bonus to a piece, well this one has a cell phone compartment as well. (pic below)
All kinds of hotness and splashy going on with this bag.....truly a moment to live for.
James Piatt has done it again...widely known for his controversial handbag designs, James Piatt gives gals another reason to walk in and shut it down
4 comments:
kwa kweli siscar nisamehe hiloo bag siwezi kubeba kama naenda kwenye world war...acha hiyo fashion inipite
kweli nakuunga mkono, huyu anacopy paste tu, labda lilitumika kubebea mabomu na radio call....
Hii sasa zaidi, watatengeneza hadi vituko sasa. Anyway, thanks for the nice post.
Thanx nicky yani acha tu hii fashion inapoelekea tutajikuta tunabeba magunia still tutasema fashion heheheh and nyie anonymous wa hapo juu i think mkasome maana ya blog ni njia moja wapo rahisi ya kuwaletea habari wadau wangu,,asante kwa kutembelea lakini
Post a Comment